HII PICHA INAMUONESHA LEMA AKIWA MAHABUSU,ALIPOTEMBELEWA NA MBUNGE MWENZAKE NASSARI


Hivi ndivyo Mh. Godbless Lema anavyoonekana akiwa mahabusu huko katika Gereza la Arusha. Anatuhumiwa kushiriki kuchochea wanafunzi wa chuo cha uhasibu na kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani.

TOA MAONI