Baba mi nimetoka wapi?.............................
09:48BABA: Dah, unajua mwanangu umeuliza swali zuri sana, kimsingi, ni mefurahi kuwa umeuliza, sasa eh eh eh sasa yaani mi na mama yako tulifahamiana kwanza kwenye facebook, hatimae tukakutana faragha ndio babu yako akatulazimisha tuoane ndio baada ya miezi michache wewe ukaja, sijui umeelewa nadhni
DOGO: Wala sijaelewa, mwenzangu Gulo kasema yeye katoka Songea, sasa mimi nimetoka wapi sijui
0 comments:
Post a Comment