Matangazo ya Kazi kwa Kingereza, tafsiri yake kwa kiswahili
09:37
Kuna matangazo ya kazi yametolewa Kiingereza, sasa nakupa tafsiri yake kisirisiri usimwambie mtu
1. Landscape Executive and Animal Nutritionist - Shamba Boy
2. Domestic Operations Specialist - Haus gelo
3. Printed Document Handler -Typist
4. Regional Business Communications Conveyer - Mesenja
5. Transparent Wall Technician -Msafisha madirisha
6. Associate Tutor - Mwalimu wa Twishen
7. Refreshments Overseer - Mhudumu wa Chai
8. Public Sanitation Technician - Mzoa taka
9. Area Theft Prevention and Surveillance Officer- Mlinzi
13. Food Technician and Preparation Officer -Mpishi .
0 comments:
Post a Comment