City Fix mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi na muda Nigeria
00:12Basi likiwa kwenye moja ya vituo huko mjini Lagos Nigeria. Dar es Salaam itakuwa kama hivi miaka mitatu ijayo
Barabara ya mabasi na ile ya magari mengine. kwenye Barabara ya mabasi akuruhusiwi kupita aina nyengine yeyote ya magari, wala pikipiki, wala baisikeli au mtembea kwa miguu. kufanya hivyo ni kosa la usalama barabarani.
0 comments:
Post a Comment