Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Lulu walipotembelea Kaburi la Kanumba

 Lulu kwa uzuni mkubwa sana akiweka shada la ua kwenye kaburi la Kanumba
 Ni majonzi yasiyo kipimo kwa Lulu ambaye amehusishwa na kifo cha kanumba
 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo