Diamond Avunja Rasmi ndoa ya Uwoya

JAMBO limezua jambo, lile sakata la kunaswa hotelini kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Irene Uwoya limezaa matunda hasi kwa ndoa ya mwadada huyo ambayo sasa imevunjika rasmi, Amani limetonywa.

Habari ya wawili hao kunaswa na kubainika kulala katika chumba kimoja namba 208 kwenye hoteli maarufu iliyopo katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi, Mbezi Beach jijini Dar, ilichapishwa kwenye gazeti ndugu la hili, Ijumaa Wikienda, toleo namba 310 la…