SIKU 1 BAADA YA KUOLEWA, BABA: SIITAMBUI NDOA HII YA BINTI YANGU

SALIEL Athanas Tillya, mkazi wa Temeke, Dar es Salaam ameibuka na kudai haitambui ndoa ya binti yake Helen Tillya (25) na Paul Komando iliyofungwa hivi karibuni akidai kwamba, binti yake huyo alimtenga yeye na kumtafuta mwanaume asiyejulikana na ukoo wao.
Bibi Harusi akimiminiwa kinywaji.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa ndani ya ofisi za gazeti hili, Bamaga-Mwenge, Dar mapema wiki hii baada ya ndoa hiyo kufungwa, mzee Tillya alisema:

“Mimi ndiye baba mzazi wa Helena,…