DivaLoveness Amtumia ujumbe Binti Wema sepetu

kupitia account yake ya Istagram mwanadada Divaloveness anayetangaza clouds FM kwenye kipindi cha usiku Ala za roho inasemekana kuna mtu amefungua account ya facebook page kwa jina la Diva na kuanza kumporomoshea mvua ya matusi.