Video ya "Sio Mimi" ya Madee inachochea uwepo wa usagaji Tanzania.

Picha zilizojaa utata kuhusiana na video hiyo "Sio Mimi". hii ni video ya muziki iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na washabiki wa Madee. Video hii imeingia kasoro haswa pale ilipoonekana wanawake wawili wakinyonyana ndimi