Gorofa jingine la NHC laporomoka
07:56Jana yalidondoka Mjini Mitaa ya Indhira /Ghandhi kutoka juu ya jengo la ghorofa
13 na kuvunja nyumba ya Jirani...!!
Tanki hizo zilikuwa zinafungwa juu ya ghorofa ilo na matanki hayo alikuwa ayajawekewa
vizuizi vyovyote na mkandarasi....
Naomba kuuliza wadau....,Matanki ya lita ngapi yanahitajika kwenye na kuruhusiwa kisheria
Juu ya Maghorofa...?? na kwenye tukio kama hili nani awajibishwe...??
CRB,MKANDARASI AU MMILIKI WA JENGO?
SEHEMU
YA JUU YA NYUMBA YA JIRANI ILIYOARIBIWA NA
UZITO WA MATANKI HAYO....
UZITO WA MATANKI HAYO....
0 comments:
Post a Comment