Habari Picha namna show ya Diamond ilivyokuwa Uingereza
02:58Pichani juu, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ndani ya jiji la London wikiendi iliyopita. Msanii huyo bado anaendelea na ziara yake nchini England.…
0 comments:
Post a Comment