Hatimaye lile pepo la ukabila Kenya...........

Lile pepo la ukabila Kenya limefunikwa kwa damu ya mahakama ilipoamua kuwa Uhuru Kenyatta ndiye mshindi wa uraisi awamu ya nne. Tunaomba wananchi wa Kenya mjumuike pamoja kumuunga mkono raisi wenu mpya na kuachana na sera za ukabila na matabaka.