Msafiri Kafiri aki ya nani bongo tambarare................................

Hivi ndivyo ilivyokuwa jana usiku maeneo ya mwenge. Abiria huyu aliamua kupanda basi la mbagala kwa staili hii aliposikia nauli imepandishwa mpaka kufikia shilingi za kitanzania 750/-. Maisha bora kwa kila mtanzania