HAYA NDO MATUSI YA WABUNGE AMBAYO SPIKA AMEAHIDI KUWASHITAKI POLISI

Lugha kama hizi zimesababisha Watanzania wengi wakose hamu ya kusikiliza vikao vya Bunge.  Tumechoshwa  na  lugha  chafu  za  waheshimiwa. Bunge   ni sehemu ambayo tulipaswa kuwa tunasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana. JOSEPH MBILINYI: "Mambo mengi  ya  nchi  hii  hayaendi  kutokana  na  SERIKALI  PUMBAVU.... Hatuwezi  kuwa  na  WAZIRI WA ELIMU BOYA  mwenye  elimu  ya  kuunga  unga  halafu  tufanye  vizuri  katika  sekta  ya  elimu...