Hivi ndivyo ilivyokuwa huko maeneo ya Moshono Mkoani Arusha baada ya kifusi kuwaangukia wachimbaji na kuwaua

Maeneo ya machimbo ya mchanga huko Moshono Arusha. watu wakiwa wamejipanga tayari kusaidia kuokoa wachimbaji waliofunikwa na kifusi.