Huu ukiwa ni mwendelezo wa yaliyotokea huko Arusha maeneo ya Moshono
23:36
Jamaa akipewa msaada wa huduma ya kwanza baada ya kuzimia alipomuona ndugu yake aliyefukuliwa kutoka kwenye kifusi akiwa amekwishafariki.
Umma ukiangalia mmoja wa waliofariki kutokana na kifusi hicho cha udogo kilichowaangukia yapata wachimbaji 20 wiki hii ya Pasaka.
About The Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Suspendisse gravida tempus quam vel laoreet. Duis iaculis nulla non urna semper placerat. Sed eu lorem quis magna hendrerit dignissim eget eget augue.
0 comments:
Post a Comment