Hiyo jana katika Mahakama ya Rufaa: Mahakama ya rufaa yatupilia mbali Rufaa ya Kupinga ushindi dhidi ya Lema!!
22:08Kesi hii ilifunguliwa tena baada ya Mh.Lema kushinda rufaa tarehe 21 desemba 2012,kesi iliyosimamiwa na mawakili maarufu sana baada ya kuzungushwa kwa muda mrefu.Warufani safari hii wanataka mahakama ipitie upya uamuzi uliotolewa na jopo la majaji watatu na wametaka benchi la majaji saba.
Mahakama imetupilia mbali mashtaka yao na mahakama imewaamuru tena wakata rufaa walipe gharama zote za kesi.
Wafuasi wa CHADEMA wanashangilia sana muda huu eneo la mahakama
0 comments:
Post a Comment