Lema: Nitaondoka katika Ubunge Arusha Mungu akiamua

Namnukuu kamanda "nitaondoka ktk ubunge arusha endapo mimi na mungu tutaamua lakini sio vinginevyo" Huwa napenda nukuu za Kamanda Lema.Alikuwa akizungumza na mwandishi wa ITV nje ya mahakama ya Rufaa baada ya Kuhakikishiwa Ubunge wa Arusha mjini.
TOA MAONI YAKO HAPA