Jokate amcheka Uwoya
02:07
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Jokate aliangua kicheko hicho juzikati jijini, Dar wakati
alipozungumza na paparazi wetu na alipogusiwa kuhusu suala la Uwoya
kunaswa na Diamond, alicheka sana huku akimshangaa.“Hahaha sasa ndiyo nini tena, yeye si aliwahi kunisema mimi nakwapua mabwana? Sasa leo imetokea kwake tena!” alisema Jokate.
Uwoya
0 comments:
Post a Comment