Kijana wa Temeke akitupia kitu JIK na Sabuni baada ya kukosa kitafunio na kimezeaji

Kama noma basi na iwe noma mie siwezi kuendelea kufa njaa wakati vitu vya aina mbalimbali na mbadala vimejaa kwa ajili ya kutoa huduma kwetu sie tuliopitiwa pembeni na neno " Maisha Bora kwa Kila Mtanzania". Baadae ilibainika kuwa bosi wake alimlazimisha kulipa sabuni hizo na JIK.