Lissu, Msigwa, Wenje, Kiwia wafungiwa kuhudhuria Vikao vya Bunge!



Ni wabunge machachari wa CHADEMA kuwa mwiba mkali kwa CCM hapo jana na kuzua tafrani hasa pale naibu spika wa Bunge kuamuru Mbunge wa Singida Mashariki mh. Tundu Lissu atolewe nje baada ya kuomba utaratibu wa spika wakati mbunge nchemba akiongea na naibu spika kukataa.

Na baadae kumhoji Lissu kwanini anasimama na anaongea sana na iweje awe yeye tu, na kumwamulu atolewe nje na kugoma ndipo maamuzi hayo yakatolewa na spika wa bunge.

Source: Nipashe.