Live Updates: Lema Mahakamani kwa ajili ya Uchochezi
04:44Hali ya mji wa Arusha ni Kijibaridi na kumekucha kwa manyunyu,Watu wamekuwa ktk vikundi huku usafiri ukidaiwa kuwa wa taabu katika baadhi ya maeneo kutokana na wengi kuja kufuatilia Mashitaka dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema...
Nipo hapa clocktower naelekea mahakamani.Pamoja nanyi naitwa Julius George nitakuwa na makamanda wengi kukuletea LIVE COVERAGE:
0 comments:
Post a Comment