Maji yapungua Chipite na hali ya usafiri katika Wilaya za Mikoa ya Lindi na Mtwara yarejea japo ki kwa Mbindee

 Baada ya Maji kupungua eneo la Chipite ambalo lilijaa maji na kusababisha abiria zaidi ya miatano (500) na magari zaidi ya miambili (200) kushindwa kupita eneo hilo. Barabara hiyo inaunganisha watu wanaokwenda Masasi, Mtwara, Ruangwa, Liwale, Nachingwea, Nanyumbu na Tunduru. Baadhi ya wasafiri wametupia lawama kwa wakala wa barabara Tanzania Tanroads.