Mastaa 20 wa Tanzania wenye ushawishi mkubwa zaidi


Kufanikiwa na kuwa na ushawishi katika maisha ya kawaida ya binadamu si jambo rahisi. Mtu mwenye ushawishi ni nani?
Ni mtu yeyote ambaye vitendo vyake, kauli zake ama ushauri wake hupokelewa kwa haraka na kufuatwa na watu. Katika orodha utakayoenda kuisoma, kuna majina ambayo mara nyingi yamekuwa yakionekana zaidi kwenye habari mbaya na scandal za hapa na pale lakini namna matendo yao yanavyopokelewa na kuwa gumzo kwenye maeneo mbalimbali, yanawafanya kuwa watu wenye ushawishi mkubwa japokuwa wengine wameshindwa kutumia nafasi hiyo kushawishi masuala chanya na yenye tija kwa jamii.
Wakati mwingine si kitu rahisi kupima ushawishi lakini tutaangalia ni wazo mawazo gani ya mtu, mifano gani ya mtu, kipaji gani cha mtu na ugunduzi gani wa mtu uliobadilisha jambo katika nchi yetu. Hawa ndio mastaa 20 wa burudani, michezo na urembo Tanzania wenye ushawishi mkubwa zaidi

1. Wema Sepetu
Well, well, well kunaweza kukawa na mjadala mrefu sana hapa wa kwanini mrembo huyu akamate nafasi ya kwanza wakati..read more
Source: Bongo5