Mh. Raisi Kikwete Alipomkaribisha Swaiba wake Mh. Makamu wa Raisi William Ruto
23:46Mh. Raisi Akiwa katika hali ya furaha na utani wakati wa mapumziko na Mh. William Ruto Hongera sana kwa kushinda uchaguzi hivi ndivyo mambo yanavyokuwa wakati mtu anaposhinda bila kuwa na vurugu wala vita.
Karibu sana Mh. William Ruto jisikie nyumbani nimefurahi sana kukutana na wewe ukiwa na kofia tofauti. Mara ya mwisho ulikuwa waziri wa Kilimo na mifugo nadhani.
Picha ya pamoja ya Mh. Raisi Kikwete na Mh. William Ruto Makamu wa Raisi wa Kenya na Familia ya Ruto.
0 comments:
Post a Comment