Paka huyu amezoea kula tu Kazi ahhh.......

Kwa wale wasiopenda kufanya kazi mpaka wasukumwe jueni siku zenu si nyingi. Maisha ya sasa hayataki mzaa kabisa kama ilivyo desturi kwa waswahili kukaa kwenye vijiwe mpaka jioni bila shughuli yeyote muhimu na shughuli zikiwa nyingi zimelala "Kwenda kafagie mtaa kama kazi nyumbani kwenu hakuna".