Mwakifwamba Asema:Irene Uwoya ni Sikio la Kufa
02:53Akizungumza kwa uchungu na paparazi wetu, Mwakifwamba alisema Uwoya hajitambui wala hajiheshimu kwani ni siku chache tu alirudiana na mumewe Hamad Ndikumana lakini inashangaza kunaswa akiwa na Diamond hotelini.
“Uwoya anatakiwa kujitambua kuwa ana nafasi gani katika jamii pia kwenye ndoa yake kwani maisha anayoishi siyo mazuri na yanatia aibu familia na tasnia nzima ya filamu hivyo abadilike,” alisema Mwakifwamba.
0 comments:
Post a Comment