Agnes: Natafuta dawa ya kupunguza makalio




SEXY lady mwenye umbo tata, anayeuza nyago kwenye video za wanamuziki wa Kizazi Kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange’, amesema anatafuta dawa ya kupunguza makalio yake kufuatia kuwa kero kwake.
Akizungumza na Ijumaa jijini Dar es Salaam juzikati, Agnes alisema ameamua kusaka dawa hiyo kwani kila siku amekuwa akikumbana na wakati mgumu kutokana na umbo lake linalosababisha wanaume wapenda ngono ‘kumsalandia’ wakitaka awaonjeshe penzi lake japo kiduchu.
“Nadhani dawa yao ni kupunguza huu mwili ili niwe kama wanawake wengine kuepuka kero, yaani hata nikitaka kwenda sehemu yoyote lazima nichukue usafiri ‘coz’ nikipanda daladala ni noma,” alisema Agnes