Mwili wa Dereva Bajaji Anayesemekana kuuwawa na Wanajeshi Maeneo ya Kawe Jana Jioni

Picha ya mwili wa Dereva wa bajaji anayesadikiwa kuuwawa na wanajesho kawe. Tukio hili lilisababisha vurugu ya aina yake kati ya Police na wananchi wanaoishi maeneo ya Kawe sokoni mpaka madukani tangu saa kumi jioni mpaka mishale ya saa 3 usiku.