Sakata la Filamu ya Ray Kigosi inayoukashifu Ukatoliki
06:41Baadhi ya vipande vilivyomo katika filamu hiyo.
Akipiga
stori na paparazi wetu, Ray amebainisha kuwa baada ya kuambiwa achomoe
vipande vingi kwenye filamu hiyo, ameona ni bora kuachana nayo kwani
hata akitoa haitaleta maana hivyo atakujairudia upya wakati mwingine. “Asilimia
85 ya filamu niliigizia kanisani na ndivyo walivyosema niviondoe, sina
ujanja kwa sasa nimeanza kushuti filamu nyingine kabisa ile labda nije
kuirudia upya hapo baadaye,” alisema Ray
0 comments:
Post a Comment