Picha na vituko "shilole alivyovifanya huko Bondeni mwaka huu 2013

 Shilole akisalimia wanapaparazi punde alipotoka kwenye chumba cha hotel alipofikia kwa ajili ya kupiga show huko bondeni.
 Shilole akiwatikisia washabiki rasa....................................................................
 Shilole akionyesha kiuno kilicho chorwa vizuri kwa ena. Mwanamke kiuno
Shilole alipomaliza show yake na crew wake teyari kwa kuondoka eneo la tukio...............