Waziri Mkuu Pinda Awafarijia Waliokufa kwa Maporomoko ya Moramu huko Moshono Arusha

 Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amefika mkoani Arusha leo kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu eneo la Moshono mkoani Arusha. Maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu kumi na tatu na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru. Waziri Mkuu pia ametembelea eneo la tukio.
                            Majeneza yenye Miili ya Waliokufa kwa Maporomoko ya Moramu Arusha