Rayuu Afunguka Kuhusiana Na Skendo Ya Kupiga Picha Za Utupu..




Kwa mara ya kwanza sasa msanii wa filamu tanzania maarufu kama Rayuu ameonekana akifunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook kuhusiana skendo inayomkabili sasa kuhusiana na kusambaa kwa picha zake za utupu. Cheki alicho kiandika hapa chini..