SHAA: “NITAVUA NGUO ZOTE HADHARANI ENDAPO VIDEO YANGU ITAFIKISHA VIEWS 100,000″…
05:03
Kwa waliokuwa na hamu ya kumuona huyu naye akiwa nusu
uchi na kivazi cha kuogelea tuu, huu sasa ni wakati wao…..
Coca Cola pop Star maarufu kwa jina la Shaa amedai kuwa
yupo tayari kuvua nguo zake hadharani na kuyaanika maungo yake
nyeti na kubakiza kichupi cha kuogelea tu endapo video yake
mpya ya Lava Lava itafikisha views 100,000 katika mtandao wa
youtube
“Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo.Endapo itafikisha
100,000 basi ntavua nguo zote na kuogelea coco beach mchana kweupe
lets do,”Alitweet Shaa katika mtandao wa kijamii wa Twitta na kuongeza
“Niliitupia kiutani tu nikidhani in one day kupata views elfu50 ni ngumu…sasa naona watu wameniamkia! Kwa spidi hii…mmmh…noma,”
0 comments:
Post a Comment