Unapojikuta kwenye mikono ya Jeshi baada ya kuwaingilia kwenye anga zao

Hivi ndivyo ilivyokuwa maeneo ya Kawe baada ya waungwana wanne kujikuta wamevamia eneo la usalama pasipokujua.