Baada ya kushindwa Uchaguzi wa Kenya..............

Hii ni baada ya Mzee Raila Amolo Odinga kushindwa uchaguzi ameonekana kwenye mitaa ya Nairobi akiubiria wananchi bibilia. Pengine anaimani kuwa hata Mahakama ilikosea.