Hadija Said aibuka mshindi wa taji la miss Utalii Tanzania 2012/13 Kitaifa‏

Mshindi wa taji la Miss Utali Tanzania 2012/13 Hadija Said mshindi wa taji la miss Utalii Tanzania 2012/13. Hadija Said Miss Utalii Morogoro Katikati akiwa na katika picha ya pamoja na Lucy Noel Miss Utalii Dar es Salaam Kushoto na mshindi wa tatu Kulia Theresia Kilomo Miss Utalii Vyuo Vikuu.