Maziko ya Mpiganaji Ayoub Mlay kufanyika Jumatano 22nd May, 2013

Mpiganaji wa Arusha/Dar Marehemu Ayoub Mlay aliyeuwawa kwa kupigwa risasi ijumaa iliyopita anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao sikuya jumatano 22nd May, 2013 huko Moshi Sango. Wadau wote wa Rally, wafanyabiashara na washikaji wa Ayoub mjitokeze kumsindikiza rafiki huyu.