Inatosha Kuwa Peke yangu Natafuta Mwanaume Mwaminifu Mcha Mungu

  Natafuta yule mwanaumealiye mwaminifu, mwenye mapenzi ya dhati, aliyemcha Mungu kikweli kweli
sio mnafiki wala mpenda anasa za dunia hii ambaye atakuwa tayari kupima vvu kabla ya ndoa
anayemujua Mungu wake kweli aliye na bidii katikak kazi, biashara au shughuli yoyote ile.
asisite kuniPM nami nitawasiliana nae. Kwani nimechoka na maisha ya ubachelor na
sasa naona basi niwe na mwenzi wa maisha. INATOSHA KUWA PEKEE YANGU
mwenye sikio la kuisikia asikie kilio changu leo. Sitanii niko seriou na
jambo hili jamani...Acha E-mail ana Simu Ikiwa bahati yako nitakupigia mie mwenyewe..