Kikwete: Hata kama Mtu anaechochea Wananchi Ana Pembe Tutayakata
22:26Alisema kua wapo watu Viongozi wanaochochea kwa Maslahi ya kisiasa na kwamba watahakikisha wote wanakamatwa iwe wapo ndani au nje ya nchi na kuwafikisha ktk vyombo vya Sheria.
Akiongea kwa hasira alisema kua Hata kama anaechochoe Wananchi kufanya Vurugu Ana PEMBE watamkamata na kumkata hizo Pembe.
Source: TBC1 TAARIFA YA HABARI.
0 comments:
Post a Comment