YAWEZEKANA HII NDIO AJALI MBAYA ZAIDI MWEZI HUU HAPA NCHINI,VIBAKA WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA..PICHA

 Ajali ilitokea kwenye eneo la Mboga karibu na Chalinze, haijapatikana taarifa yeyote kuhusu vifo ila abiria wengi wamejeruhiwa.



 vibaka wakijaribu kupora abiria walikamatwa hapo hapo