Breaking News Mkutano wa Chadema washambuliwa na kitu kinachodhaniwa kuwa Bomu

 Arusha,
Habari kutoka  Arusha mlipuko unaosemakana kuwa ni bomu umetokea katika mkutano wa Chadema wa kuhitimisha kampeni za udiwani siku ya leo katika viwanja vya soweto.Mpaka sasa chanzo cha mlipuko akijajulikana watu watatu wameshapoteza maisha. 
 

Majeruhi. Mungu urehemu tz