EWS ALERT: POLISI JIJINI DAR WAKAMATA WATU WAWILI WAKIWA NA BASTOLA KATIKA PIKIPIKI..!!
00:31
Askari
kanzu (kulia) akiwa ameshika bastola aliyokutwa nayo mtu mmoja
aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usaji T
961 CJW katika mtaa wa Makunganya jirani kabisa na benki ya Posta
jijini Dar es Salaam jana mchana . Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya
ujambazi wa kutumia pikipiki Polisi wameimarisha ulinzi na hasa katika
maeneo ya mabenki.
Watu waliokamatwa wakijaribu kuwasiliana na ndugu zao.
Neno kwenye Pikipiki waliyokuwa wakitumia hao.
Ofisa
wa Polisi akijaribu bastola waliyokutwa nayo watu wawiliwaliokuwa
katika Pikipiki Posta Mpya jirani na Benki ya Posta leo.
Heee ina risasi!
Mtu aliyekutwa na bastola hiyo, ambaye alijitambulisha kama mfanyabiashara.
Polisi wakifanya mawasiliano na wenzao wa doria kuomba msaada wa gari.
Mtuhumiwa aliyekutwa na bastola akihojiwa na kuchukuliwa maelezo.
Dereva wa Pikipiki naye akichukuliwa maelezo yake.
Add caption |
Unaitwa nani, unaishi wapi, unafanya kazi gani, kabili gani, Ofisa wa Polisi akimuhoji mtuhumiwa.
0 comments:
Post a Comment