TUTAKIFUTA CHAMA CHA CHADEMA KAMA KITABAINIKA NDICHO KILICHOTUPA BOMU ARUSHA.....JOHN TENDWA
00:26
Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa, amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio
waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013
atakifuta.
Tendwa ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha
Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa
kipindi Adrian Stepp kuhusu hatua zitakazochukuliwa...
Alipoulizwa kama itathibitika kuwa CCM ndio
walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa
kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu.
Source :Jamiiforum
About The Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Suspendisse gravida tempus quam vel laoreet. Duis iaculis nulla non urna semper placerat. Sed eu lorem quis magna hendrerit dignissim eget eget augue.
0 comments:
Post a Comment