Lulu na mama kanumba ni “damu damu”. Huu ni mfano wa kuigwa. Wampokea “Kanumba Jr” pamoja


Katika kile kinachoonekana kuendelea kutawala kwa amani na upendo kati ya familia ya marehemu Steven kanumba na familia ya mwigizaji Elizabeth Michael ama Lulu, familia hizi kwa pamoja zimeonekana kwenye picha za pamoja wakiwa katika hospital ya  taifa ya muhimbili kumpokea mtoto aliyezaliwa na dada wa marehemu Steven kanumba siku  tatu zilizopita hospitalini hapo “waliyempa” jina la “Steven Kanumba Jr” kama caption za picha hizo zilivyokuwa zinaonesha.
Katika picha hizo mwigizaji Elizabeth Michael alionekana mwenye furaha sana akiwa na mtoto huyo mikononi mwake.
1lulu1
Na
1lulu2
Hongera sana dada kanumba.1Lulu