TASWIRA ZA MLIPUKO WA BOMU KATIKA MKUTANO WA CHADEMA SOWETO JIJINI ARUSHA
02:54
Hali ilivyokuwa baada ya mlipuko.
Watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha na wengine zaidi ya 50
kujeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu lililolipuka kwenye mkutano wa
Chadema katika eneo la Soweto, kata ya Kaloleni jijini Arusha, wakati wa
kufunga kampeni za uchaguzi wa madiwani katika maeneo ya jiji hilo.
0 comments:
Post a Comment