HUNITAKI TENA KWA SABABU UMEPATA MWINGINE SASA KWA NINI UNANIVUA NGUO KWA MARAFIKI ZAKO?
01:22Mimi ni Msichana wa Miaka 25 imetokea bahati mbaya tumeachana na Mchumba wangu baada ya yeye kupata msichana mwingine nimelia sana ili turudiane lakini wapi , kibaya zaidi akiwa na marafiki zake ananiongelea mimi kuwa eti sijui mapenzi ya kitandani kuwa eti huwa tukifanya nalala kama mgomba ...na mengine mengi ya siri ambayo labda ni kweli ama si kweli ....Sasa nashindwa kuelewa kwanini anivue nguo mbele ya rafiki zake baada ya kuachana ....naona aibu hata kupita mtaaani anaongea sana jamani ...Nifanyaje?
0 comments:
Post a Comment