Ni mwaka mmoja sasa tangu Steven Kanumba Alipo fariki dunia. You will always be remembered
01:47
MWAKA MMOJA SASA(KAMILI) UMEPITA TANGU UTUTOKE NDUGU/KAKA/N.K STEVEN CHARLES KANUMBA.
USIKU KAMA WA LEO KUAMKIA TAR.07/04/2012 MWAKA JANA ULIFARIKI DUNIA GHAFLA KATIKA TUKIO LILILOTUWEKA GIZANI HADI LEO.
USIKU KAMA WA LEO KUAMKIA TAR.07/04/2012 MWAKA JANA ULIFARIKI DUNIA GHAFLA KATIKA TUKIO LILILOTUWEKA GIZANI HADI LEO.
TUNAAMINI MWENYEZI MUNGU AMEKUPUMZISHA KWA AMANI,SISI SOTE TU MALI YAKE..TUKIITWA TUTAITIKA.
REST IN PEACE THE GREAT STEVEN CHARLES KANUMBA
0 comments:
Post a Comment