Danguro la Wasanii Dar Lafichuliwa ni zaidi ya Sodoma na Gomora


Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Global Publishers inazidi kuibua mazito! Safari hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na wasanii chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia, Risasi Jumamosi lina ripoti ya kushtua.

Kwa muda mrefu gazeti hili lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.
Habari Kamili Ipo Katika Gazeti la Risasi la Global Publisher...