Matukio zaidi ya Rais Uhuru, Naibu Rais Ruto wakiwa na Raila Odinga na Kalonzo Musyoka, Ikulu











Rais Uhuru, Naibu Rais Ruto wakiwa na Raila Odinga na

Kalonzo Musyoka, Ikulu

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na na Naibu wake William
Ruto, leo wamekutana na kushauriana na wakuu wa chama
cha CORD Raila Odinga na Kalonzo Musyoka
waliowatembelea Ikulu Nairobi kuwatakia heri.